Timu ya Barcelona imempa Neymar muda wa kupumzika baada ya michuano ya Olympic hadi Septemba mwaka huu.
Neymar ameiongoza Brazil Brazil kutwaa medali ya dhahabu baada kuwafunga Ujermani kwa mikwaju ya Penati.
Barcelona ikiwa Nou Camp ilianza ligi ikipata ushindi mnono wa magoli 6 baada ya kuifunga Real Betis bila Neymar.
Hat trick ya Luis Suarez, Goli mbili za Lionel Messi na Arda Turan ilitosha kuinyanyua Barca bila nyota huyo anayekamilisha mchanganyiko wa MSN.

Comments
Post a Comment