Michuano ya Olimpiki inaendelea mjini Rio de Janeiro, Brazil huku nchi 29 zikiwa zimeshajinyakulia medali katika michuano mbalimbali.
Afrika kusini ndio nchi pekee ya bara la Afrika ambayo tiyari imeandikisha ama imejinyakulia medali.
Afrika kusini ina medali ya fedha, huku nchi ya Marekani ikiongoza kwa kuchukua medali nyingi ikiwa imechukua medali za dhahabu 3, fedha 5 na shaba 4 ikiwa na jumla ya medali 12, wakifuatiwa kwa karibu na China wenye medali 8

Comments
Post a Comment