Omog: Simba mambo safi leo


Kocha wa Simba Joseph Omog amesema hana wasi wasi kwa kuwa timu hiyo itapata ushindi dhidi ya ndanda leo.

Omog alisema amendaa na kupanga vyema kikosi chake hivyo ameowatoa hofu mashabiki wa Simba kwa kuwaahidi ushindi.

"Timu yangu iko vizuri, nimejipanga na nimeiandaa vyema, sioni sababu ya kukosa ushindi leo." Alisema kocha huyo

Hata hivyo kwa upande wa Ndanda wamejinadi kusajili vizuri na kudai kuwa kwa upande wao hawana hofu na Simba leo.

Comments