Mshambuliaji kinda wa Manchester united Marcus Rashford jana alifunga bao pekee la ushindi dhidi ya Hull city ambalo limeipa timu hiyo pointi 3.
Rashford aliyetokea benchi alifunga bao hilo dakika 90 ya mchezo na kukufua matumaini ya Ushindi kwa kocha Jose Mourinho pamoja na mashabiki wa timu hiyo.
Kwa matokeo hayo kunaifanya Manchester united kukusanya jumla ya pointi 9 baada ya kushinda mechi 3 mfululizo tangu kuanza kwa ligi hiyo.

Comments
Post a Comment