Mfaransa Paul Pogba atakosa mechi ya ufunguzi wa ligi dhidi ya Bournemouth baada ya kusimamishwa na FA.
Pogba ameangukiwa na msala huo kutokana na kadi mbili za njano alizopewa katika michuano ya Coppa Italy msimu uliopita ambapo kadi hiyo imesafirishwa moja kwa moja kwenye chama cha soka England.
FA imebariki adhabu hiyo jambo ambalo linamfanya kocha wa Manchester united Jose Mourinho kuweka mipango mipya kwenye eneo la kiungo.

Comments
Post a Comment