Timu ya Simba imeshindwa kutamba kwenye uwanja wa taifa baada kupata sare ya bao 1-1 dhidi ya URA Uganda.
Hii ni mechi pili inayohusisha mchezo wa kimataifa kwa Simba baada ya kufanya hivyo siku ya Simba day dhidi ya FC Leopard.
Simba itaingia tena dimbani kwenye mchezo wa ufunguzi wa ligi kuu Tanzania bara dhidi ya Ndanda FC ya Mtwara, Agosti 20 mwaka huu.

Comments
Post a Comment