Stones asaini miaka 6 Man city


Beki wa England John Stones amesaini miaka 6 Manchester city kwa ada uhamisho wa £47.5 milioni.

Stones 22 mapema leo hii alijumuishwa kwenye kikosi cha Manchester city kitakachoshiriki ligi ya mabingwa barani Ulaya kabla ya kumwaga wino Etihad.

Stones anakuwa beki ghali zaidi England baada ya Manchester United kufanya hivyo kwenye uhamisho wa Rio Ferdinand kutoka Leeds kwa £36 milion hiyo ilikuwa mwaka 2002.

Comments