Sunderland yanasa wawili Man united.


Wachezaji wa Manchester united Paddy McNair pamoja na Donald Love wamesaini Sunderland kwa dau £ 5.5 milioni kama Ada uhamisho.

Wachezaji hao wenye miaka 21 kwa pamoja wamesaini mkataba wa miaka 4 utakaoweka Sunderland hadi 2020.

David Moyes ambaye ni kocha wa sasa wa Sunderland amewahi kuwa na wachezaji hao alipokuwa kocha wa Man united miaka mitatu iliyopita.

Comments