Tabiri na Paul Merson EPL


Ikiwa ni wiki ya pili, ligi ya England maarufu kama EPL inazidi kusonga. Leo ijumaa Manchester united itashuka dimbani dhidi ya Southampton, Paul Merson ambaye ni mchamuzi wa soka kwenye kituo cha Sky sports ametabiri matokeo ya wikiendi hii kama ifuatavyo

Man united 2-0 Southampton
Stoke city 1-1 Man city
Sunderland 2-2 Middlesbrough
West Ham 2-1 Bournemouth
Tottenham 2-0 C. Palace
Westbrom 1-2 Everton
Swansea 1-0 Hull city
Burnley 1-3 Liverpool
Leicester 2-2 Arsenal

Utabiri wa Paul Merson katika mechi zilizopita



Pia unaweza kuchangia kwenye page hii kwa kutabiri matokeo au kutoa maoni yako kwa kadiri uonavyo. Karibu

Comments