Timu ya Yanga maarufu kama wakimataifa wameanza ligi kwa moto baada ya kuichapa African Lyon mabao 3-0.
Yanga ilifunga mabao hayo kupitia Deus Kaseke aliyefunga bao la kwanza, Simon Msuva aliyefunga bao la pili na Juma Mahadh aliyeshindilia msumari wa tatu.
Yanga imeonesha ni jinsi gani ilivyo imara baada ya kutawala vema mpira kwa dakika zote 90 na kujihakikishia ushindi huo mnono.
Licha ya kufanya vibaya kwenye kombe la Shirikisho lakini Yanga imeonesha ni jinsi gani ilivyo imara katika ligi ya hapa nyumbani.

Comments
Post a Comment