Mkutano huo ambao ajenda zake hazijawekwa wazi unatarajiwa kuanza saa tatu asubuhi katika ukumbi ambapo uongozi umemtaka kila mwanachama kuhudhuria.
Mbali na taarifa ya mkutano pia barua hiyo iliyotolewa na katibu wa ya Yanga Baraka Deusdedit pia barua imeanisha kuwepo kwa mchezo wa kirafiki kati ya Yanga na mtibwa ambao utachezwa siku ya Agosti 8 mwaka katika uwanja wa taifa majira ya saa kumi jioni.

Comments
Post a Comment