Timu ya Yanga imepoteza rasmi matumaini ya kufuzu kuelekea nusu fainali ya kombe la shirikisho barani Afrika baada Medeama ya Ghana kuichapa TP Mazembe mabao 3-2.
Yanga haitafikia idadi ya pointi 8 ilizofikisha Medeama ikiwa imebakiwa na mchezo mmoja wa mwisho dhidi ya TP Mazembe.
Hadi sasa TP Mazembe ndiye anayeongoza kundi hilo akiwa na pointi 10, akifuatiwa na Medeama yenye pointi 8, MO Bejaia pointi 5 na Yanga ikiwa na pointi 4.

Comments
Post a Comment