Mabingwa wa Zambia Zesco united wamefanikiwa kuingia nusu fainali ya Klabu bingwa Afrika ambapo watakutuna na Mamelodi Sundowns ya Afrika kusini.
Zesco iliweza kupasua ngome nzito na kuingia kwenye hatua ya nusu fainaili na kuzipiga chini Al-Ahly pamoja ASEC Mamosa ya Ivory Coast.
Katika kundi hilo Zesco ilivuka na Wydad ya Morocco ambayo itachuana na Zamalek kwenye hatua ya nusu fainali.
Timu za kusini mwa Afrika zinaonekana kuimarika, Kwa pamoja Zesco ya Zambia na Mamelodi Sundown ya Afrika kusini zinawakilisha ukanda huo.

Comments
Post a Comment