Timu ya Barcelona imeshindwa kutamba mbele ya Deportivo Alaves katika uwanja wa Nou Camp baada ya kukubali kipigo cha mabao 2-1.
Mchezaji wa Deyverson alianza kuiongoza Alaves kupata bao la ushindi dakika ya 39, hata hivyo Barca ilichomoa bao hilo kupitia Jeremy Methieu dakika ya 47 na dakika ya 64 Ibal Gomez alishindilia bao la pili la ushindi kwa Alaves.
kiungo wa Barca Ivan Rakitic akipambana na mchezaji wa Alaves
MSN ilishindwa kutamba mbele ya Alaves ambao walionekana kuwa imara wakati wote kuanzia eneo la mbele, kati na nyuma na kuionesha Barce kuwa ilistahili kupata sare na Atletico kwenye mechi yao iliyopita.
Alaves wakishangilia bao la ushindi



Comments
Post a Comment