Kiungo mshambuliaji wa England Delle Ali amesaini mkataba mpya wa kuitumikia Tottenham hadi mwaka 2022.
Spurs kupitia kurasa wake wa Twitter walitupia tukio hilo mtandaoni likumuonesha mchezaji huyo akisaini mkataba mpya pamoja na kocha wa timu hiyo Mauricio Pochettino.
Ali 20 kwa sasa mshahara wake umeongezeka nje ya ule aliyokuwa alipokea hapo awali kwa sasa atakua akilipwa £25000 kwa wiki.
Ali amekuwa mchezaji imara katika kikosi cha Mauricio Pochettino na kwa sasa amajitengenezea namba ya kudumu kwenye kikosi cha kwanza.

Comments
Post a Comment