Timu ya Arsenal leo katika uwanja wa Emirates imeondoka na pointi 3 baada ya kuifunga Southampton 2-1.
Southampton ilianza ilianza kupata bao kupita Tadic aliyefunga kwa mkwaju wa adhabu lakini Arsenal ilichoma bao kupitia Laurent Koscielny kabla.
Licha ya upinzani mkali ulioneshwa na Southampton lakini Arsenal iliweza kupata ushindi kupitia Santi Carzola aliyefunga kwa mkwaju wa Penati zikiwa zimesalia dakika mbili kabla ya mpira kumalizika.

Comments
Post a Comment