Golikpa Aishi Manura akifanya mazoezi
Timu ya Azam inaendelea vizuri na mazoezi jijini Mbeya ikijiandaa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Prisons utakaochezwa kesho katika uwanja wa Sokoine.
Azam iliwapokea nyota wengine jana akiwemo golikipa Aishi Manula, Mwantika pamoja na Shomari Kapombe ambao wameungana na wenzao mazoezini.
Kocha wa Azam na msaidizi wake wakifuatilia mazoezi kwa makini



Comments
Post a Comment