Baada ya kushindwa kufanya vizuri akiwa na Liverpool Mshambuliaji wa Nice ya Mario ameanza kwa kishindo baada ya kufunga mabao wawili Nice ilipoibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Mersaille.
Balotteli 26, alishindwa kumshawishi kocha wa sasa wa Liverpool Jurgen Klopp baada ya kushindwa kuendana na kasi ya mfumo wake.
Kabla ya kufungwa kwa Dirisha la usajili Mario Balloteli alijiunga na Nice ya Ufaransa ambao walionesha wazi kuhitaji huduma ya mchezaji huyo aliyetua bure kwa wekundu hao wa Ufaransa.

Comments
Post a Comment