Hawa ndiyo walioitwa na Mkwasa taifa stars kuivaa Ethiopia

Kuelekea mchezo wa kimataifa wa kujipima nguvu kwa mujibu wa FIFA kocha wa Taifa Stars Bonifas Mkwasa jana amechangua kikosi atakachokwenda nacho Addis Ababa nchini Ethiopia kwa ajili ya mechi hiyo.  
Nyota wa Stars walioitwa na Mkwasa ni:
Makipa
Deogratius Munishi – Young Africans
Said Kipao – JKT Ruvu
Aishi Manula – Azam FC

Mabeki
Shomari Kapombe – Azam FC
Juma Abdul – Young Africans
Vicent Andrew - Young Africans
Mwinyi Haji - Young Africans
Mohamed Hussein – Simba SC
David Mwantika - Azam FC
James Josephat – Tanzania Prisons

Viungo wa Kati
Himid Mao - Azam FC
Mohammed Ibrahim – Simba SC
Jonas Mkude – Simba SC
Muzamiru Yassin – Simba SC

Viungo wa Pembeni
Shiza Kichuya – Simba SC
Simon Msuva - Young Africans
Juma Mahadhi - Young Africans
Jamal Mnyate – Simba
Hassan Kabunda – Mwadui FC

Washambuliaji
Ibrahim Ajib – Simba SC
John Bocco - Azam FC
Mbwana Samatta - CK Genk ya Ubelgiji
Elius Maguli – Oman
Thomas Ulimwengu – TP Mazembe Congo
Matokeo ya mechi hiyo ni sehemu ya kuongeza na kupima ubora na kiwango wa timu hizo kwa ajili ya kupata alama zitakoinua au kuishusha timu kulingana na ubora wake katika ngazi ya kimataifa hivyo kifanya vizuri ni sehemu ya kwa Taifa Stars kutainyanyua timu hiyo.

Comments