Kuelekea kariakoo derby kumekuwa na matukio mbali yaliwahi kutokea pindi mafahali hao wanapokutana, tazama hapo:
Moja wa shabiki wa yanga akitolewa uwanjani baada ya kupoteza fahamu.
Baadhi ya mashabiki wa Yanga wakiigiza kuripoti live mechi hiyo.
Mashabiki wa Simba wakipitisha jeneza lenye bendera ya Yanga kuashiria kufurahia ushindi walioupata.



Comments
Post a Comment