Leo ni Jumamosi ni ya tarehe 10, mechi mbali za ligi kuu Vodacom zitakuwa zikichezwa katika viwanja tofauti kama ifuatavyo
Mwadui FC v Stand United (mwadui Complex, Shinyanga)
Mbeya City v Azam FC (Sokoine, Mbeya)
Young Africans v Majimaji (Uhuru, Dar es Salaam)
African Lyon v Mbao FC (Karume, Dar es Salaam)
Pia mechi za ligi kuu zitaendelea kesho siku ya jumapili ambapo Simba itaikaribisha Mtibwa Sugar kwenye uwanja wa Uhuru.

Comments
Post a Comment