Mshambuliaji wa Barcelona Lionel Messi ataikosa atakaa benchi kwa muda wa wiki 3 baada ya kupatwa na majeraha katika mechi dhidi ya Atletico.
Messi aliumia dakika chache baada ya kuanza kwa kipindi cha pili cha mechi hiyo ambayo iliisha kwa sare ya matokeo ya bao 1-1.
Messi ataikosa mechi ya ligi ya mabingwa barani Ulaya dhidi ya Borrusia Monchenglabach utakaopigwa wiki ijayo nchini Ujermani.

Comments
Post a Comment