Timu ya Ndanda imefanya kama ilivyoahidi baada ya kuibaka Yanga kwenye uwanja wa Namangwanda sijaona leo baada ya kutoka sare isiyokuwa na Magori.
Licha ya Yanga kutawala mpira muda mwingi lakini Ndanda walijipanga vizuri kwenye Safu ya Ulinzi na kuwathibiti vema Donald Ngoma, Obrei Chirwa pamoja na Simon Msuva.
Hii ni sare ya tatu ambayo Ndanda imeweza kupata dhidi ya Yanga na Yanga pia dhidi ya Ndanda, huku timu zote kwa pamoja zikiwa zimefungana mara moja.
Kwa matokeo hayo Yanga pamoja na Ndanda wanakuwa wamekusanya jumla ya pointi 6 kila mmoja, ikiwa ni idadi sawa ya matokeo.

Comments
Post a Comment