Simba kuzindua uwanja wa Uhuru na Ruvu Shooting leo


Timu ya Simba leo kwa mara ya kwanza itazindua uwanja wa Uhuru majira ya saa 10 jioni kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya Ruvu Shooting.

Simba na Yanga hazijatumia uwanja huo kwa muda sasa tangu ulipoingia kwenye marekibisho ya jukwaa chini ya wakandarasi wa kichina ambapo wakongwe hao walikuwa wakitumia uwanja wa Benjamini Mkapa kwa muda.

Mbali na Mechi ya Simba, Ndanda FC itakuwa mwenyeji wa Yanga leo katika uwanja Vinamangwa mkoani Mtwara huku Prisons ikiwa mwenyeji wa Azam FC.

Comments