Tabiri matokeo ya EPL na Paul Merson


Paul Merson ambaye ni mchambuzi wa masuala ya soka katika kituo cha Sky sports ametabiri matokeo ya mechi mbalimbali za ligi kuu England kama ifuatavyo

Chelsea 2- 2 Liverpool
Crystal Palace 3-1 Stoke city
Tottenham 3-0 Sunderland
Hull city 1-3 Arsenal
West Brom 1-1 West Ham
Man city 3-0 Bournemouth
Leicester city 3-1 Burnley
Everton 3-0 Middlesbrough
Watford 2-2 Man utd
Southampton 2-0 Swansea

Mbali na utabiri wa Paul unaweza kuchangia na kutoa maoni yako kwenye kurasa kwa kutabiri matokeo ya EPL kulingana na jinsi unavyofikiri.

Comments