Timu ya Yanga ambayo imewasili Shinyanga mapema leo imelazimika kutumia usafiri wa daladala baada ya kuchelewa kwa basi husika kuwapokea wachezaji hao kwa wakati.
wachezaji wa Yanga wakisogea kwenye daladala
Baadhi ya picha zimezagaa kwenye mitandao ya kijamii zikiwaonesha wachezaji hao wakitumia usafiri huo wa daladala badala ya basi lao maalumu.
Yanga itashuka dimbani Jumamosi ya wiki hii katika mechi ya ligi ya ligi kuu dhidi ya Mwadui FC na wakati ambapo siku chache baadae itacheza na Stand United.


Comments
Post a Comment