Timu ya African Lyon leo ikiwa katika uwanja wa taifa imeweza kuibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Ndanda ya Mtwara.
Afrcan Lyon ilipata la ushindi kupitia William Otono aliyefunga kwa kichwa baada ya kuwazidi ujanja mabeki wa Ndanda FC ambao walidhani mchezaji huyo alikuwa ameotea.
Timu hiyo imepata ushindi wa pili tangu Septemba 12 ilipoishushia kisago cha mabao 3-1 Mbao FC ya Mwanza na leo.

Comments
Post a Comment