Timu ya Azam imepigwa faini ya milioni tatu kwa kuvaa baada ya kuvaa nembo ya mdhamini wa ligi kuu kwenye mkono mmoja tu badala ya miwili.
Azam inapigwa faini hiyo kwa mujibu wa kanuni ya 13(1) huku adhabu hiyo ikitolewa kwa mujibu wa kanuni ya 13(6).
Mbali na faini hiyo ya Azam pia bodi hiyo imetoa onyo kwa timu ya JKT Ruvu na kuitwanga faini ya Tsh 500000 baada ya mashabiki wa timu hiyo kumshambulia msamimizi wa kituo na ofisa wa bodi ya ligi katika uwanja wa kabatini katika mechi dhidi ya Mbeya city.

Comments
Post a Comment