Chelsea waikalisha Leicester city 3-0.


Timu ya Chelsea leo katika uwanja wa Stamford Bridge imefanikiwa kupata pointi baada ya kuichapa Leicester city bao 3-0,
'
Chelsea ilipata bao hizo kupitia Diego Costa aliyefunga dakika ya 7, Eden Hazard dakika ya 33 na bao la mwisho lilifungwa na Victor Moses dakika ya 80 ya mchezo huo.

Ranieri anaendelea kuwa kwenye wakati mgumu kutokana matokeo mabaya ambayo amepata aliokutana na timu kubwa ikiwa ni pamoja na kufungwa goli zisizopungua 11 alipokutana Liverpool, Man utd na Chelsea.

Leicester city ilifungwa na Liverpool goli 4-1 ambazo ni sawa na zile alizofungwa alipokutana na Man utd na leo amekubali kipigo cha 3-0 kutoka kwa Chelsea.

Comments