Majimaji haijapata ushindi wowote hadi sasa na mara ya mwisho ilipoteza kwa Stand utd ya Shinyanga katika uwanja wa nyumbani baada ya kufungwa mabao 2-0.
Macho ya wengi na wingi wa mashabiki wa Majimaji pamoja na wadau mbalimbali wa soka ni kuona timu hiyo inapata ushindi wa kwanza ili kurejesha nguvu kwenye kikosi hicho.
Safari ya Majimaji ina maswali mengi kwa kocha Ongala, nina imani ushindi unamnyima usingizi kocha huyo, endapo atafanikiwa kutoka na pointi 3 siku ya leo bila shaka kutainua maisha mpya Majimaji.

Comments
Post a Comment