Mbali na upinzan mkali unaoendelea kwenye ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara, pia ligi ya Startimes (ligi daraja la kwanza) imeshika kasi ambapo mechi zifuatazo zitachezwa katika viwanja tofauti.
Kundi A
Pamba v Polisi Dar (CCM Kirumba, Mwanza)
Africans Sports v Kiluvya (Mkwakwani, Tanga)
Kundi B
Kuregenzi ya Iringa v Coastal Union (Mufindi, Iringa)
Kundi C
Mvuvumwa v Singida utd (Kigoma)
Panoni v Alliance
Polisi Dodoma v Polisi Mara
Rhino v Mgambo JKT (Tanga)

Comments
Post a Comment