Timu ya Liverpool imefanikiwa kusonga mbele kwenye michuano ya kombe la ligi nchini England baada ya kuifunga Tottenhma 2-1 katika uwanja wa Anfield.
Mshambuliaji wa Liverpool Daniel Sturridge aliibuka shujaa baada ya kufunga bao zote mbili zilizo iongoza timu hiyo kutinga hatua ya robo fainali.
kufikia jana Liverpool imetimiza jumla ya mechi 18 ambazo ilicheza katika uwanja wa nyumbani bila kufungwa.

Comments
Post a Comment