Timu ya Manchester united imeshikiliwa kooni na Stoke city baada ya kulazimishwa sare ya bao 1-1 Old Trafford.
Man utd ndiyo iliyoanza kupata bao kupitia Anthony Martial aliyetokea benchi dakika ya 75 huku lile la Stoke city likizamishwa wavuni na Joe Allen dakika ya 82.
Ingawa utd walichangamka kiasi wakitafuta bao lakini bado kuna mapungufu kwenye timu yao ambapo kocha Jose Mourinho ameahid kuyafanyia kaz.

Comments
Post a Comment