Mechi tano kupigwa Kesho ligi kuu.


Wakati leo kukiwa na mechi kali kati ya Simba na Yanga kwenye uwanja wa taifa ambao ni mchezo pakee unaopigwa siku ya leo, kesho ligi itandelea ambapo michezo mitano itachezwa kwenye viwanja mbali kama ifuatavyo

Mbeya city v Mwadui FC (Sokoine, Mbeya)

Mtibwa Sugar v African Lyon (Manungu, Morogoro)

Majimaji v Stand utd (Majimaji, Songea)

JKT Ruvu v Mbao FC (Mabatini, Mlandizi)

Kagera Sugar v Prisons (Kaitaba, Kagera)

Comments