Awali kulikuwa na taarifa kuwa huenda Pluijm angepewa nafasi ya kuwa mkurugenzi wa ufundi wa timu lakini mambo yamekuwa tofauti baada ya kuwepo kwa taarifa kuwa nafasi hiyo itashikiliwa na mtu rasmi anayetarajiwa kutokea Ureno.
Yanga imekata rasmi mzizi wa fitna baada ya kumalizana na kocha huyo wa zamani wa Zesco ambaye aliwapa ubingwa wa ligi kuu Zambia mara mbili mfululizo.

Comments
Post a Comment