Washambuliaji wa Yanga Amis Tambwe na Obrey Chirwa ndiyo watakaoanza katika mechi ya leo dhidi ya Mbao FC.
Katika mechi hiyo ambayo itapigwa katika uwanja wa Uhuru jijin Dar es Salaam kiungo wa Yanga Thaban Kamusoko pamoja na mshambuliaji Donald Ngoma wataanzia benchi.
Wengine walioko kwenye kikosi hicho ambacho kitacheza na Mbao FC ni pamoja na , Deogratius Munish 'Dida', Haji Mwinyi, Hassan Kessy, Adrew Vicent 'Dante', Vicent Bossou, Mbuyu Twitte, Haruna Niyonzima, Deus Kaseke na Simon Msuva.

Comments
Post a Comment