Mshambuliaji wa Manchester united Wayne Rooney ataikosa mechi ya Chelsea leo kutokana na jeraha la goti.
Nahodha huyo wa Manchester united ameshindwa kusafiri na timu baada ya kuumia mazoezini.
Rooney 31, alishindwa kuondoka na kikosi hicho kuelekea London ili kuendelea na matibabu ya kuimarisha afya yake.

Comments
Post a Comment