Spurs chupuchupu ikalishwe na West Brom, zatoka sare 1-1.


Timu ya West Brom leo ikiwa kwenye uwanja wa nyumbani imeikaba Tottenham koo baada ya kufungana bao 1-1.

West Brom ilipata bao la kuongoza kupitia Nacer Chadli aliyefunga dakika ya 82 lakini Dele Ali alichomoa bao hipo kunako dakika ya 89 ya mwisho ikiwa imesalia dakika kabla ya kumalizika kwa mechi hiyo.

West Brom wameondoka na rekodi yao ya mwisho ambayo walitoka nayo msimu uliopitia baada ya kupata matokeo yanayofanana na leo ikiwa sare ikiwa sare ya pili katika mechi za mwisho walizokutana.


Comments