Yanga yaitisha mkutano mkuu wa dharura kwa wanachama wake


Klabu ya Yanga inawatangazia wanachama wake kuwa itaitisha mkutao mkuu wa dharura kwa wanachama wote wa timu hiyo utakaofanyika Octoba 23 mwaka huu ambayo ni siku ya jumapili.

Uongozi huo umewaomba wanachama wote kuhudhiria mkutano huo bila  kukosa kwa maslahi ya wana Yanga wote.

Pia uongozi huo ulitanga kuwa Agenda za mkutano na mahala ambapo mkutano utafanyika itatangazwa siku za hivi karibuni kabla ya tarehe ya mkutano.

Comments