Yanga yatua Mwanza kuivaa Toto Africans


Timu ya Yanga imeondoka alfajiri ya leo na tayari imetua salama jiji Mwanza kuivaa Toto Africans wikiendi hii.

Yanga ina kumbukumbu ya kupata sare katika mechi ya mwisho dhidi ya Azam ikiwa imekusanya jumla ya pointi 15 kwenye mechi 8  ilizocheza ligi kuu.

Timu hiyo imepoteza mechi moja dhidi ya Stand Utd na kupata sare mechi tatu dhidi ya Ndanda FC, Simba na Azam.


Comments