Azam yapata Habari yake kwa Mbao FC, yapigwa 2-1 CCM Kirumba


Timu ya Azam jana ilisalimu amri katika uwanja wa Kambarage baada ya kukubali kipigo cha bao 2-1 kutoka kwa Mbao FC ya mwanza.

Azam haijawa katika mwenendo mzuri msimu huu ikiwa imeruhusu vipigo vinne hadi sasa tangu kuanza kwa ligi.

Azam iliweka wazi kuwa licha ya matokeo wanayopata lakini waliahidi kumpa muda zaidi kocha wao wa sasa Mhispania Zeben Hernandez.

Comments