Mshambuliaji wa Real Madrid Christian amefunga hat trick katika mechi dhidi ya Atletico Madrid katika uwanja wa Vicente Calderon.
Ronaldo alifunga magoli hayo katika dakika ya ya 23, 71 na 77 na kuhitimisha ushindi wa bao 3-0 kwa Real Madrid dhidi ya mahasimu wao Atletico Madrid.
Mreno huyo mwenye miaka 31, amefikisha jumla ya hat trick 32 ambazo amefunga hadi sasa tangu alipotua Real Madrid kwenye ligi ya la liga.

Comments
Post a Comment