Donald Trump amwaga Clinton kwenye uchaguzi


Mgombea wa urais wa chama cha Republican Donald Trump ameshinda nafasi ya urais nchini Marekani baada ya kumbwaga mgombea wa chama cha Democratic Hilary Cinton.

Trump ameshinda jumla ya majimbo 276 huku mpinzania wake Hilary Clinton akiwa amepata jumla ya majimbo 218.

Kwa sasa Trump 70, ndiye atakayerithi rasmi nafasi ya Rais Barack Obama ambaye muda wake kuongoza nchini hiyo umefika ukomo.

Comments