Ilikuaje Swansea na Man utd walipokutana


Timu ya Manchester united ambayo kwa sasa haifanyi vizuri kwenye ligi kesho itakuwa na kibarua cha kuvaana na Swansea city katika uwanja wa Liberty.

Hadi sasa timu hizo zimekutana mara 10, Man utd imepata ushindi mara 6, Swansea mara 3 na sare 1, katika mechi walizocheza.

Ni vizuri kubashiri ushindi katika mechi hiyo kuliko sare kutokana na matokeo halisi ya timu hizo zilipokutana wakiwa na sare 1 tu mpaka sasa.

Comments