Joti apata Shavu DSTV


Msanii anayetikisa kwenye sanaa ya vichekesho nchin Lukas Mhuvile Maarufu kama joti amechaguliwa kuwa balozi wa kuitangaza DStv nchini.

Uongozi wa kampuni ya Multi choice Tanzania jana ulimtangaza rasmi muigizaji huyo aliyewahi kutamba na original comedy pamoja na Ze comedy ya East Africa Television.

Pia joti amejizolea umaarufu kutokana na kugeuza video mbalimbali kuwa sehemu ya vichekesho ambazo huenea katika mitandao ya kijamii ikiwemo You Tube, WhatsApp na Facebook.

Comments