Kane kuivaa Arsenal Emirates Posted by eskaone blog on November 04, 2016 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Mshambuliaji wa Tottenhman Harry Kane atacheza katika mtanange wa 'London Derby' dhidi ya Arsenal Baada ya kupona majeraha yake. Kane aliumia katika mechi dhidi ya Sunderland Septemba 18 mwaka huu na kukaa nje ya uwanja kwa muda wa mwezi mmoja. Comments
Comments
Post a Comment