Aliyekuwa kocha wa Zesco George Lwandamina leo ametambulishwa rasmi kuwa ndiye kocha halali wa Yanga.
Zoezi hilo lilifanywa na makamu wa rais wa timu ya Yanga Clement Sanga ambaye alimkaribisha kocha huyo akiambatana na Hans Pluijm ambaye kwa sasa ni mkurugenzi wa ufundi.
Lwandamina alisaini miaka miwili ya kuionoa Yanga baada ya kuachana na Zesco ya Zambia.

Comments
Post a Comment