Mshambuliaji wa Barcelona Lionel Messi ameendelea kutamba kwenye ligi ya mabingwa barani Ulaya baada ya baada kutupia bao mbili za ushindi dhidi ya Celtic.
Messi alifunga bao hizo pekee zilizoingoza Barcelona kufuzu bila upinzani kwenye kundi lao ambapo wamekusanya jumla ya pointi 12 hadi sasa.
Hadi kufikia Jana nyota huyo ambaye ni bora Mara 5 katika tuzo za dunia alifikisha jumla ya bao 9 alizofunga tangu kuanza kwa ligi ya mabingwa barani ulaya msimu huu.

Comments
Post a Comment