Kocha wa Taifa Stars Bonifas Mkwasa leo ametaja kikosi chake ambapo amewajuisha ambapo amewajumuisha viungo wa Simba Mzamiru Yasin na Jamal Mnyate.
Mzamiru amekuwa akifanya vizuri tangu alipotua Simba na kumshawishi kocha Bonifas Mkwasa kumchagua katika timu yake.
Taifa Stars inatarajiwa kushuka dimban katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya Zimbabwe wiki ijayo.
Mbali na Mzamiru pia Mshambuliaji wa Dhofar ya Oman Elias Maguri ameitwa kwenye timu hiyo.

Comments
Post a Comment