Licha ya kushika nafasi ya mbili kwenye mbio za Abu Dhabi Nico Rosberg ameibuka mshindi kwenye mbio za Formula 1 na kumpiga chini Lewis Hamilton ambaye aliibuka mshindi kwenye mbio za Abu Dhabi.
Nico Rosberg alikuwa anahitaji kumaliza nafasi ya tatu iwapo Hamilton angemaliza nafasi ya kwanza ya mbio za Abu Dhabi kuweza kuwa bingwa.
Hamilton ndiye aliyekuwa bingwa mtetezi wa mashindo hayo kwa mara tatu mfululizo.
Kumi bora ya mbio za Abu Dhabi ni Hamiliton, Rosberg, Vettel, Verspatten, Riccardo, Raikkonen, Hulkenberg, Perez, Massa, Alonso.


Comments
Post a Comment